SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU- KISWAHILI KIDATO CHA NNE
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Eleza jinsi kiswahili kielea wakati wa wakoloni

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kuelewa na kueleza kukua na kuenea kwa Kiswahili katika enzi katika enzi ya Waingereza na baada ya Uhuru nchini Tanzania

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze;1. Kueleza kukua kwa Kiswahili katika enzi ya Waingereza nchini Tanzania

5. MAIN TOPIC
WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU

6. SUB-TOPIC
2.1 Ukuaji wa Ueneaji wa Kiswahili katika Enzi ya waingereza.

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Ramani ya Tanzania kuonesha vituo vya kupokea na kueneza Kiswahili; Zanzibar, Tanga, Tabora,Mzizima (DSM), Ujiji.

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Mwalimu atoe utangulizi kwa kueleza historia ya kiswahili wanafunzi wasikilize na kuandika nukuu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Kwa kutumia njia ya bungua bongo na majadiliano mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini namna Kiswahili kilivyokua katika enzi ya Waingereza kimsamiati. wanafunzi kubaini namna Kiswahili kilivyokua katika enzi ya Waingereza kimsamiati. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya waingereza nchini Tanzania. Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya waingereza nchini Tanzania. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini ukuaji wa Kiswahili kimsamiati katika enzi ya waingereza nchini Tanzania. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU- KISWAHILI KIDATO CHA NNE For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256